Chama cha MAKINI kupitia kwa mgombea wake Coaster Kibonde kimesema maboresho ya sekta ya usafiri nchini itakuwa kipaumbele endapo chama hicho kitashinda Uchaguzi Mkuu ikiwemo kununua ndege 70 ambazo zitasafirisha abiria na mizigo kwenye kila mkoa nchini.

Mwanaidi Waziri ana taarifa zaidi

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *