#HABARI: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ambaye ni Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwa wilayani Liwale, mkoani Lindi, kwenye mkutano wa kampeni ameelezea namna Mwanasiasa Mkongwe na Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Rashid Mfaume Kawawa, mwenye historia na wilaya hiyo, alivyokuwa mzalendo kwa nchi yake ambapo mwaka 2009, alipokwenda kumsalimia alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini siku chache kabla ya kifo chake alimwambia ahakikishe chama hicho kinaendelea kuwatetea Watanzania wenye shida.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *