#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Ndg. Majalio Kyara, amesema atarejesha heshima ya walimu kwa kuhakikisha maslahi yao yanazingatiwa na kuboreshewa mazingira bora ya kufundishia vikiwemo vitendea kazi kama vitabu vifaa vya maabara na kemikali na kulipa madai yote ya walimu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *