#HABARI: Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imesema kuwa zaidi ya wanafunzi 450,000 kila mwaka wanafeli katika mifumo rasmi ya elimu nchini, huku mkoa wa Pwani ukitajwa kushika nafasi ya saba kitaifa kwa watu wasiojua kusoma na kuandika hivyo kuna uhitaji mkubwa wa kuendelea kuweka nguvu katika utekelezaji wa mradi wa IPOSA, ambao unatoa mafunzo ya ujasiriamali, kusoma na ufundi stadi ili kuwapatia ujuzi ambao utawawezesha kujiajiri au kuajiriwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.