#HABARI: Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tayari wamejitokeza kwa wingi wakiendelea na shamrashamra za kumsubiri na kumpokea mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi, ambae leo anatarajiwa kufanya mikutano ya kampeni katika kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Furaha hiyo inatokana na mabadiliko na maendeleo makubwa yaliyofanywa na Rais Wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika awamu ya mwanzo ya uongozi wake kwa kujenga skuli ya kwanza ya Gorofa katika kisiwa hicho, ujenzi wa matanki makubwa ya kusambazia maji pamoja na uimarishaji wa huduma za kijamii.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *