Halmashauri ya Wilaya ya Gairo kwa kushirikiana na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imeanza mkakati wa kukuza sekta ya utalii kwa kufanya maboresho katika vivutio vya utalii vinavyopatikana katika wilaya hiyo, ikiwemo hifadhi ya misitu ya shamba la Ukaguru.
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Japhar Kubecha amesema hayo wakati wa ziara maalumu ya kutembelea hifadhi hiyo, akiambatana na wadau wa kilimo zaidi ya 150.
#AzamTVUpdates
✍Theresia Mwanga
Mhariri | John Mbalamwezi