Katika kukuza elimu nchini hususani kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya TEHAMA, shule ya sekondari ya Mlimani Matemwe ya visiwani Zanzibar imesaidiwa usimikwaji wa mfumo wa TEHAMA katika moja ya madarasa ili kuwawezesha wanafunzi zaidi ya 300 kujifunza kwa njia ya mtandao kama anavyoripoti Ally Issa.
Mhariri @moseskwindi