Khamis Faki Mgau anayegombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha NRA amewaahidi mishahara minono walimu wa shule za kawaida na madrasa.
Mgau ametoa ahadi hiyo kisiwani Pemba wakati akizungumza na wapiga kura kuelekea Oktoba 29 mwaka huu.
Aisha Haji ameshuhudia kampeni zake kisiwani Pemba.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi