Viongozi mbali mbali wapongeza mpango wa Trump wa amani kwa Gaza++++Rais mpya wa Malawi Peter Mutharika aapa kukabiliana na ufisadi++++Maelfu ya waomba hifadhi waliokatiliwa Ujerumani wanadaiwa kujificha+++Tunisia yamhukumu kifo mwanamume mmoja kuhusiana na chapisho kwenye Facebook.