Mgombea Ubunge Jimbo la Lindi Mjini kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita amesema endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo ataboresha mfumo wa soko la mazao ya kilimo na kuanzisha mfuko wa hifadhi ya jamii kwa wakulima.

#AzamTVUpdates
✍ Omary Mikoma
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *