Mgombea Urais wa chama cha CHAUMMA, Salum Mwalim ameahidi kuweka mazingira huru ya kujadili maboresho ya mfumo wa elimu nchini endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi. Ameongeza kuwa lengo ni kupata wahitimu watakaomudu kukabiliana na maisha baada ya kuhitimu.
Emmanuel Kalemba amefuatilia kampeni hizo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi