Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ilani ya chama hicho imetoa uzito wa kipekee katika ustawi wa jamii na chama hicho kimedhamiria kuimarisha nguzo kuu za kiuchumi ikiwemo ufugaji, kilimo, uvuvi na uchimbaji wa madini.
Msikilize katika taarifa hii ya Ramadhan Mvungi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi