Wagombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa jimbo la Kibamba na mgombea wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita wa jimbo la Lindi Mjini wamendelea na kampeni zao huku wakiwaomba wapiga kura wao kuwapa nafasi za ubunge wapate kuwawakilisha na kutatua changamoto zinazowakabili.
Wasikilize katika taarifa iliyosomwa na @moseskwindi
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi