Wilaya ya Singida imeandaa mkutano mkuu wa wadau wa kilimo wakiwemo wakulima ili kuhakikisha wilaya hiyo inaendelea kuzalisha zaidi mazao mbalimbali ya biashara ili kukuza uchumi wa wilaya kupitia sekta hiyo ya kilimo .
Imeandaliwa na Deus Liganga
Mhariri | @moseskwindi