Wivu, unapokuwa na kiasi, unaweza kuwa kichocheo cha mafanikio…kukutia msukumo wa kufanya zaidi, kuboresha maisha yako na kufanikisha ndoto zako. Watu wachache wanaotumia wivu kwa namna chanya huweza kuona mafanikio ya wengine kama motisha, jambo linalowapa nguvu ya kufanikisha malengo yao wenyewe.

Lakini unapozidi, wivu hubadilika kuwa mzigo wa kisaikolojia, kuharibu mahusiano, kudhoofisha afya ya akili, na kuleta huzuni isiyo na sababu.

#AzamTVUpdates
✍Nifa Omary
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *