05.10.20255 Oktoba 2025 Wapatanishi wa Israel na Hamas wazungumza huko Cairo kujaribu kuumaliza mzozo wa Gaza. Watu watano wauawa Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi. Iran yaeleza kuwa ushirikiano wake na IAEA hauna tena umuhimu. https://p.dw.com/p/51VZv Post navigation Maskini Al Merrikh  yatupwa nje Afrika 05.10.2025: Matangazo ya Jioni