#HABARI: Wagonjwa mkoani Singida waliokuwa wakishindwa kufika katika Hospitali za Taifa, kupata huduma za kibingwa na bobezi za magonjwa mbalimbali, shida hiyo imeisha kufuatia timu ya madaktari bingwa maarufu wa mama samia zaidi ya 40 kufika mkoani Singida na watatoa huduma hizo kwenye wilaya zote za Mkoa wa Singida.
Akiwapokea Madaktari hao Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatuma Mganga, amewataka madaktari hao kwa kushirikiana na Wanganga Wakuu wa Wilaya kuhakikisha kila mgonjwa anapata huduma hatakama hana fedha za kuchangia matibabu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.