#HABARI: Mgombea Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Ndg. Majaliwa Kyara, ameahidi kuboresha Miundombinu ya masoko ili wananchi waweze kufanya kazi nyakati zote wakati wa mvua na jua.
Ndg. Kyara ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi huku mvua ikiendelea kunyesha bila kujali kuloana na mvua katika Viwanja vya Bwanga, Chato, Mkoani Geita.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.