KUTOKA ESWATINI: Baadhi ya mashabiki waliosafiri na timu kutoka Tanzania pamoja na Watanzania wanaoishi Afrika Kusini na Eswatin...

KUTOKA ESWATINI: Baadhi ya mashabiki waliosafiri na timu kutoka Tanzania pamoja na Watanzania wanaoishi Afrika Kusini na Eswatini kwa pamoja wanaamini Simba itafanya vizuri kwenye mchezo dhidi ya Nsingizini Hotspurs kutokana na ubora waliokuwa nao kwa sasa.

Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports2HD

#CAFCL #SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *