#NBCPL Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally anasema amepata darasa na atakwenda kufanya ‘homework’ yake sawasawa kutokana na kilichomtokea leo……
…wakati Kocha wa Namungo, Juma Mgunda akilia na umakini wa wachezaji wake dakika za mwishoni….
FT: JKT Tanzania 1-1 Namungo FC
Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #JKTTanzania #NamungoFC #JKTNamungo