#NBCPL Magoli yote mawili ya mchezo… akianza Ali Salehe, na kisha super sub, Salehe Karabaka akachomoa dakika za jioni….!!!
FT: JKT Tanzania 1-1 Namungo FC
Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #JKTTanzania #NamungoFC #JKTNamungo