Akihitimisha kampeni zake leo, Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema endapo akipata ridhaa ya wananchi katika awamu ijayo ataendelea kujenga nyumba bora na za kisasa ili kuwasaidi wananchi waweze kuishi katika makazi bora yenye gharama nafuu.

Taarifa zaidi na Mtumwa Said…
Mhariri @abuuyusuftz

#HabariWikiendi #AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *