Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kupitia mgombea wake wa urais Salum Mwalim ameendelea kusisitiza azma yake ya kupunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi, endapo watamchagua katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 29, 2025.
Taarifa zaidi na Emmanuel Kalemba.
Mhariri @abuuyusuftz
#HabariWikiendi #AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)