#HABARI: Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma mkoani Mara, Michael Msoganzila amewaomba waumini wa kanisa hilo kuombea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025 ili uwe wa haki na amani na kuwahimiza kwenda kupiga kura na kuchagua kiongozi wanayeona anafaa kwa maendeleo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *