#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameahidi kuwafuta wananchi machungu waliyoyapata wakati wa uongozi uliopita chini ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Bonnah Kaluwa.

Akizungumza katika moja ya mikutano yake ya kampeni, Kaiza amesema kuwa endapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wa Segerea, atahakikisha analeta mabadiliko chanya na kutatua changamoto zinazowakabili wakazi wa jimbo hilo.

Aidha, mgombea huyo ametoa wito kwa wakazi wa Segerea kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na kutumia haki yao ya kidemokrasia kumchagua kiongozi atakayesimamia maendeleo ya kweli.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *