Mgombea urais kupitia chama cha United Democratic Party (UDP), Saum Hussein Rashid amesema iwapo wananchi watamchagua kuwa rais atahakikisha anawafukuza kazi watumishi wowote wa umma, ambao watatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Mgombea huyo amesema hayo leo wakati akiendelea na kampeni za lala salama katika eneo la Mwanayamala Sokoni, kabla ya Oktoba 29, 2025 ambapo uchaguzi mkuu utakuwa ukifanyika kote nchini.
Taarifa zaidi na Joseph Mpangala…
Mhariri @abuuyusuftz
#HabariWikiendi #AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)