Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othmamn amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa rais, atahakikisha Zanzibar inapata stahiki zote za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Mgombea huyo amezungumza hayo leo wakati vyama mbalimbali visiwani humo, vikihitimisha shughuli za kampeni kujinadi kwa wapiga kura, kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Taarifa zaidi na Naima Haji…
Mhariri @abuuyusuftz

#HabariWikiendi #AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *