Wakati hekaheka za wagombea wa urais wa Tanzania zikiendelea, mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo akiwa mkoani Tanga amesema endapo watanzania watampa ridhaa ya kuwaongoza atahakikisha anajenga masoko mapya ya kisasa kwenye mikoa yote, ili kuwe na mfumo rasmi wa masoko nchini.
Taarifa zaidi na Mariam Shedafa…
Mhariri @abuuyusuftz
#HabariWikiendi #AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)