#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata na linamuhoji, Jenifer Bilikwiza Jovin (Niffer) (26) mkazi Masaki Peninsula, Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu na kuharibu miundombinu katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam, hasa siku za kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

Jeshi hilo limemkamata Jenifer Tarehe 27,10.2025 majira ya saa 9 mchana eneo la Sinza Kumekucha ambapo wamesema hatua zaidi za kisheria zinaendelea kuzingatiwa dhidi ya mtuhumiwa huyo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *