#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi katika Majimbo ya Tunduru Kusini na Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Bwana Bosco Mwingira amewataka Watendaji wa vituo vya Uchaguzi Mkuu mwaka huu kutii kiapo walichoapa cha kutunza siri za uchaguzi, ili kuepuka kuwajibika kutokana na kukiuka kanuni ya nane ya kiapo cha uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2025.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *