#HABARI: Serikali kwa kushirikiana na wanaharakati wa kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto jijini Tanga ikiwemo kuwaingilia watoto wao kinyume na maumbile,wameiomba jamii kusaidia kuwafichua baadhi ya wazazi wanaowafanyia watoto wao vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa dhana tofauti ikiwemo imani za kishirikina ili sheria iweze kuchukua mkondo wake.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.