#HABARI: Wakazi wa Mikoa ya Mtwara na Lindi, wameondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, baada ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kusimika mtambo wa kufua umeme wa megawat 20 kwa njia ya gesi asilia, ili kuongeza uzalishaji wa nishati hiyo, uliyogharimu zaidi ya shilingi bilioni 4.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.