Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Ruvuma limeongezewa nguvu kwa kupewa vifaa mbalimbali vya kukabiliana na majanga ya moto ikiwa ni sehemu ya kuliongezxea nguvu.

Vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni mbili vimekabidhiwa leo kama anavyoelezea Mawazo Mwaijengo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *