Katibu wa Itikadi, Siasa, Mafunzo na Uenezi wa Wilaya ya Tanga, Kipanga Salim Juma, ametoa tathmini ya kampeni zilizofanyika katika Jimbo la Tanga, akisema chama kimefanya kazi kubwa ya kuwasilisha sera kwa wananchi baada ya kuzunguka kata zote 27 za jimbo hilo.

Amesema wamefanikiwa kufikia wapiga kura wote waliopo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, na wana imani kubwa kuwa wananchi watawaamini na kuwachagua.

✍ Mariam Shedafa
#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *