Katika kukabiliana na hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani Mtwara, Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limezindua mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ili kuongeza Megawati 20 kwenye gridi ya taifa na kuisaidia mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma kunufaika.
Mhariri @moseskwindi