Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Gloria Shayo ameeleza namna atakavyotekeleza ahadi zake kwa wananchi wa jimbo hilo, ikiwa ni pamoja na suala la miundombinu bora, kuhakikisha sera ya elimu bure inatekelezwa ipasavyo na kunufaisha vijana kiuchumi kwa kuwapatia mikopo hususan wanawake.

Mgombea huyu amezungumza hayo mapema leo alipofanya mahojiano kwenye kipindi cha #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates

✍Nifa Omary
Mhariri | @abuuyusuftz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *