Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imekamilisha usambazaji wa vifaa vya kura zikiwemo karatasi za kupigia kura katika vituo vyote vya uchaguzi huku kesho Oktoba 28, 2025 kura ya mapema ikitarajiwa kupigwa.

Mtumwa Said ana taarifa zaidi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *