#HABARI: Baadhi ya Wananchi jijini Dar es Salaam, wamewahiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la upigaji wa kura kwani lina faida kubwa kwa taifa kwa kutumia demokrasia kuchagua viongozi watakaongoza kwa miaka mitano na kuepuka vitendo vya vurugu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *