#HABARI: Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Ndg. Kunje Ngombare Mwiru, amefunga kampeni zake katika Kijiji cha Mkenge, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani, akiwataka Watanzania, kudumisha upendo, amani na mshikamano, uliopo kuelekea Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, akiisisitiza kila Mtanzania, ajitokeze akapige kura ili kutimiza haki yake ya Kikatiba.

Aidha Ndg. Kunje amevipongeza vyombo vya dola kwa kazi kubwa waliyoifanya katika usimamizi wa shughuli zote za kampeni za chama hicho, alipokuwa katika mikoa mbalimbali nchini.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *