#HABARI: Mgombea wa nafasi ya ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Bw.Patrick Mwalunenge, amefunga kampeni zake kwa kuzungumza na wafanyabiashara wadogo maarufu machinga wa nguo za mitumba soko la Soweto.

Mwalunenge amewasihi wafanyabiashara hao kwenda kutiki Oktoba 29 mwaka huu ili kuwachagua viongozi wanaowataka, huku akikipigia chapuo chama chake cha CCM kuwa kina uwezo wa kuendelea kuwaletea maendeleo.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *