#HABARI: Naibu Katibu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) Issa Nkya, amewatoa hofu wananchi na abiria kuwa hakijatoa tamko la usitishaji huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani na nchi jirani hapo kesho, hivyo huduma zipo kama kawaida kwa saa 24, hivyo wananchi wametakiwa kupuuza taarifa za mtandao kuwa huduma za usafiri wa mabasi hazitakuwepo kupisha zoezi la upigaji kura.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.