#HABARI: Serikali mkoani Kigoma imeanza mpango wa ujenzi wa soko la kimkakati litakalokuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara wapatao 500 kwa wakati mmoja, lakini pia kuhudumia nchi jirani kama Burundi na Congo DR, hali ambayo itasaidia kukuza uchumi wa nchi kwa haraka, ujenzi huo ukienda sambamba na ujenzi wa Kituo cha Polisi ili kuimarisha usalama.

Akizungumza wakati wa kukabidhi shughuli hiyo kwa Mkandarasi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashidi Chuachua, amesema kuwa soko hilo la kimkakati ambalo litajengwa katika eneo la Kibirizi Mwambao Mwa Ziwa Tanganyika, litasaidia sana kukuza Uchumi wa Wananchi wanaozunguka eneo hilo na nchi jirani ambao wanategemea sana biashara kutoka Kigoma.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *