#HABARI: Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025 limeanza huko Zanzibar kwa upigaji wa kura ya mapema, ambayo kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar kura hiyo ya mapema imeanza kupigwa na askari wa vikosi vya ulinzi na usalama na watendaji wa tume.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.