Maandalizi ya kituo cha kupokea, kujumuisha na kutangaza matokeo ya kura za Urais yamekamilika.

Kituo hicho kiko makao makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) eneo la Njedengwa – Dodoma ambapo George Mbara amefika eneo hilo kutoa taarifa ya maandalizi hayo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *