Mbunge wa zamani wa viti maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Munde Tambwe amempigia kampeni mgombea ubunge wa chama hicho katika jimbo la Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga katika kampeni za lala salama kuelekea Uchaguzi Mkuu, Oktoba 29.

Munde ambaye aliongoza kura za maoni na lakini akakosa bahati ya kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge ameendelea kushiriki kuwapigia debe wagombea walioteuliwa na CCM katika maeneo mbalimbali.

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *