Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka huu ni halali na unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Johari alitoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, akisisitiza umuhimu wa wananchi kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa amani na utulivu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *