Ulinzi na usalama umeimarishwa karibu kila eneo nchini, huku Jeshi la Polisi likiwa linaendelea kuwahakikishia wananchi usalama wa kutosha kuelekea siku ya kesho ya kupiga kura.

Jeshi la Polisi limedai kuwa hakuna tishio lolote la kiusalama, na linaendelea kufuatilia baadhi ya watu waliounda vikundi na kutumia picha za matukio ya zamani kujaribu kuonyesha hali ya usalama kuwa si shwari.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *