Fuatilia matangazo mbashara ya uchaguzi muda huu kupitia chaneli namba 108 #UTV, inayopatikana pia kwenye #AzamTVMaxApp, pia unaweza kutazama matangazo haya kwenye chaneli yetu ya #UTVTanzania
Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma mbashara kupitia matangazo haya.
@goodluckpaultz @hildaphoya @abuuyusuftz
#UchaguziMkuu2025