#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha UPDP Mhe. Twalib Kadege, ametafuta jina lake kwenye vituo 13 vya kupigia kura, japo hakutoa ushirikiano kwa kuzungumza na Vyombo vya Habari, ila taarifa zinaeleza kuwa jina lake limepatikana kituo cha Mabibo Mzambarauni.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.