Mwandishi Wetu kutoka Mbeya, Kakuru Msimu amepita katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya na anaripoti kuwa hali ya usalama ni shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao na hapa yuko katika Kituo cha kupiga kura cha Shule ya Msingi Tambukareli, ambapo pia Spika wa Bunge ambaye ni mgombea wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson anatarajiwa kupiga kura katika kituo hicho.
#UchaguziMkuu2025 #AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *